Soma Bango hilo, wafuasi wa CHADEMA
jijini Arusha ,walioambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli
Bw. Amani Salenga wakionyesha bango hilo kwa waandishi wa Habari (hawapo
pichani) ,wakidai kuwa Mbunge Lema ndie chanzo cha vurugu kwenye Chama
kwa kuanzisha kikundi cha vijana ambacho kimekuwa tishio kwa wale
wanaojaribu kupingana na sera za Mbunge huyo. pia wamedai kuwa Arusha
kwa sasa CHADEMA imegawanyika katika makundi mawili, amabyo ni CHADEMA
ASILI na CHADEMA FAMILY.
Mzalendo Blog
No comments:
Post a Comment