Maiti ya kijana Kassim Said Mboya mkazi wa jijini Dar es salaam imekutwa na kete 65 zinazodhaniwa kuwa ni za madawa ya kulevya, maiti ya kijana huyo ilikutwa kwenye basi la kampuni ya Taqwa eneo la Kasulum likitokea Dar kuelekea Malawi. |
Maiti ya kijana Kassim Said Mboya akiwa Chumba cha Upasuaji kuondolewa Dawa hizo
Kete inayosadikiwa kumuua kijana huyo baada ya Kupasukia tumboni
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya akitoa taarifa kwa waandishi wa habari hukusu tukio hilo
Kete alizokutwa nazo tumboni kijana huyo baada ya kufanyiwa upasuaji Hosp ya Rufaa Mbeya
Kulia ni kamanda wa polisi Mkoa wa Mbeya akiwa amevalia mavazi maalum kwenye chumba cha
kuhifadhia maiti
Dactari akichunguza mwili wa marehem huyo |
No comments:
Post a Comment