PICHA!!! HAWA NDIO WATU 10 WANAOTUHUMIWA KWA MAUAJI KIFO CHA DR. MVUNGI....TAZAMA MAPICHA HAPA
Majambazi
kumi wanaodaiwa kumuua Dr. Segondo Mvungi wamefikishwa kwenye Mahakama
ya Hakimu mkazi Kisutu na kusomewa shitaka la kumuua Dr. Mvungi.
Kesi
imesomwa na Hakimu Mkazi Sundi Fimbo ambapo Watuhumiwa hawakutakiwa
kujibu chochote kutokana na Mahakama kutokua na uwezo wa kusikiliza kesi
ya mauaji hivyo wanarudishwa Segerea mpaka tarehe tano December kwa
ajili ya kesi kutajwa.
No comments:
Post a Comment