BREAKING NEWS.UKWELI WA UVUMI WA KUJIUZULU BAREGU CHADEMA NI HUU HAPA
Prof Mwesiga Baregu.
Baada ya kusambaa uvumi kuwa mjumbe wa mabadiliko ya katiba kutoka chadema MWESIGWA BAREGU amejiuzulu chama hicho kimekuja juu na kuwakemea wale wote wanaoeneza uvumi huo huku kikisema kuwa hajajiuzulu
Akizungumza na HABARI24 kwa njia ya simu msemaji wa CHADEMA,MAKENE amesema kuwa hakuna mjumbe mwinginw aliyejiuzulu katika chama hicho kama ilivyoelezwa na baadhi ya mitandao ya kijamii
Habari24 bl;og inaomba radhi kwa kucghapisha habari ambazo hazikuwa na ukweli wowote ila tunaendelea kufwatilia kujua ukweli.
No comments:
Post a Comment