Tuesday, November 19, 2013

SPORTS BREAKING NEWS: KIBADENI, JULIO WATIMULIWA SIMBA


Julio(kulia) na Kibadeni(kushoto) wameondolewa kazini. 
     Julio na Kibadeni wameondolewa kazini baada ya kamati ya utendaji iliyokutana jana kufikia uamuzi
kwamba wawili hao utendaji wao si sahihi.Tayari Simba imekamilisha mazungumzo na kocha mwingine mzungu, si yule Bobby Willliamson ambaye aliandikwa na gazeti moja nchini kwamba ndiye kocha mpya wa Simba.

CREDIT GPL

No comments: