Taarifa
zilizothibitishwa kutoka Katika klabu ya Simba ni kwamba kamati ya
utendaji ya klabu hiyo imemsimamisha mwenyekiti wa klabu Ismail Aden
Rage kuongoza timu hiyo.
Kuhusiana
na sababu zilizopelekea Rage kusimamishwa na kamati ya utendaji na Rage
amechukuliaje uamuzi wa kamati ya utendaji, endelea kutembelea mtandao
huu. Taarifa zaidi zitakujia.
chanzo na shaffih dauda
No comments:
Post a Comment