Wanawake wanaodaiwa kufanyabiashara ya ukahaba wakiwa Mahakama ya Jiji
la Dar es Salaam, baada ya kukamatwa maeneo mbalimbali ya Wilaya ya
Kinondoni. Oparesheni ya kuwakama wanawake hao inafanywa na Jeshi la
Polisi Mkoa wa Kinondoni.
Vijana waliokamtwa wakidaiwa kukutwa wakifanya mapenzi na wanawake hao wakificha sura zao wasipigwe picha.
bofya hapo chini utizame picha zote za tukio------
No comments:
Post a Comment