KAMA KAWA WAANDISHI TUPO MAKINI TUNASIKILIZA MKUTANO HUO |
Akizungumza na waandishi wa habari jijini dar es salaam kamishna wa kanda maluum leo ameema kuwa watuhumiwa hao wamekamatwa kutokana na ushirikioano mzuri wa ndugu pamoja na watanzania wote
Amewataja watuhumiwa hao kuwa ni -MSIGWA OPERA,CHIBANGO MAGOZI,AHAMADI ALLY,ZAKARIA RAFAELI,MANDA SALUM,PAULO JAIROS,JUMA KHAMISI,LOGISHU SEMALIKI,MASUNGA MAKENZA wote wakazi wa jijini dar es salaam
WAZIRI WA MABO YA NDANI EMANUEL NCHIMBI AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI JUU YA SAKATA HILO JIJINI DAR ES SALAAM |
KAMISHNA WA POLISI KANDA MALUUM YA DAR ES SALAAM SULEMAN KOVA AKIONYESHA MAPANGA AMBAYO YALITUMIKA KUMDHURU KIONGOZI HUYO NYUMBANI KWAKE |
No comments:
Post a Comment