Taswira mbalimbali za mkutano
wa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa alioufanya jimboni kwa
aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe jimboni Kigoma
Kaskazini ambapo mkutano ulikosa watu kabisa na kujikuta peke yake kama
picha zinavyojionyesha.
Pia amepatwa na fedhea baada ya kudanganywa kuwa kunamkutano kata ya
KIDAHWE,Licha ya fedha ya maandalizi ya Mkutano zaidi ya laki
tano.lakini Slaa alifika eneo la mkutano na kukuta hakuna kitu,fedha
zimeliwa na wannachi wapo bize na kazi za maendeleo.Akina Pera
walipofika na gari yaa M4C waliishia kupigiana simu kuulizana
kulikoni.Pole sana Slaa kwa dhahama unayoendelea kukutana nayo.
KUTOKA POLICCM HADI POLISCHADEMA HAPA CHINI LEO KIGOMA
Watanzania naomba pia tujifunze huu Unafiki wa Slaa,Huyu ndiye anakimbia kwenye MEDIA na kuhema hana imani na Jeshi la Polisi,hataki kulindwa na Jeshi la Polisi eti Nguvu ya Umma inamlinda,Huyu Slaa ndiye anasema Polisi wa Tanzania wanafanya kazi ya CCM,Hizi Picha ni ushahidi tosha kuwa NJIA YA MNAFIKI NI FUPI SANA,LEO ANAWAPIGIA MAGOTI polisi wamsaidie asipate kipigo kutoka kwa Nguvu ya Umma aliyokuwa anasema inamlinda.Hongereni sana JESHI la Polisi kwa Kutekeleza majukumu yenu bila kujali CHAMA,Hawa wanasiasa wanatukana mamba wakati hawajavuka Mto
credit to Jamiiforum/Jukwaa la siasa

No comments:
Post a Comment