BREAKING NEWS !!!!!! WATU 13 WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA NOAH SINGIDA.
Habari zilizotufikia sasa hivi kutoka Singida zinasema watu 13
wamefariki dunia baada ya kutokea ajali ya magari mawili kugongana uso
kwa uso eneo la Isuna mkoani humo.
Habari zinasema ajali hiyo
ilihusisha gari aina ya Toyota Noah na lori ambayo namba zake za usajili
hazikupatikana mara moja. Watu 13 waliofariki walikuwa katika Noah
iliyokuwa ikitokea Itigi na maiti zao zimehifadhiwa katika Hospitali ya
Mkoa wa Singida.
Baada ya ajali hiyo, dereva wa lori na msaidizi wake walitokomea
No comments:
Post a Comment