Mbunge wa Iringa Mjini Kwa
Tiketi ya CHADEMA Mh.Peter Msigwa(Mchungaji) amezidiwa ghafla na homa na
kukimbizwa hospital,hali hiyo
imetokea wkt wakiwa kwenye shughuli za kichama.madaktari wanamuhudumia
vzr na anaendelea vyema sasa.
Taarifa zaidi zitakujia,Chanzo:http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/579815-mch-msigwa-azidiwa-ghafla-na-kukimbizwa-hospital.html
No comments:
Post a Comment