Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Jane Kakingo Mgimwa, mjane wa aliyekuwa
Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa baada ya mwili wa marehemu kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa Nduli Iringa Desemba 5, 2014 kwa ajili ya
mazishi yanayotarajiwa kufanyika kijijini Magunga Desemba 6, 2014.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishuhudia
wakati mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa wakati
ulipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli Iringa Desemba 5,2014 kwa
ajili ya mazishi yanayotarajiwa kufanyika Desemba 6, 2014 kijijini
Magunga. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment