MKURUGENZI wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya
Tanzania (BoT), Amatus Liyumba ameshinda kesi ya kukutwa na simu
gerezani iliyokuwa inamkabili hivi punde katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu jijini Dar es Salaam. Liyumba ameshinda kesi hiyo
baada ya upande wa Jamhuri na mchunguzi wa kesi hiyo kushindwa
kuithibitishia mahakama kuhusu tuhuma hiyo. Hukumu hiyo imesomwa na
Hakimu Mkazi, Augustina kuanzia saa 3:30 mpaka 4:20
No comments:
Post a Comment