Hamis Mandi aka B12 mkali wa pindi la XXL ni miongoni kati ya
watangazaji wa Clouds walio subirishwa kazi ya utangazaji kutokana na
madai ya chinichini ya kuwa wamekiuka sheria na taratibu za Clouds Media
inavyotakiwa kuendeshwa.
Baada ya chanzo chetu kuzinasa taarifa hizo, kiliamua kumvutia wire B12 live bila chenga naye akamwagika kimtindo huu,
“Mimi bado nipo Clouds media sema tu sipo kwenye kipindi now lakini
mwezi wa pili nitakuwa ndani ya kipindi ukitaka full details zungumza na
uongozi wa Clouds Media hope utafahamu zaidi things follow
No comments:
Post a Comment