Messi ni mmoja kati ya masuper star waliepanda mlima Kilimanjaro, mlima
mrefu katika bara la Africa mlima unaopatikana katika ardhi ya Tanzania.
Mlima kilamanjaro ni moja ya vivutio vinavyoliletea taifa letu sifa na
utajiri. Kwanini tusijivunie Utanzania wetu kupitia rasilimali zetu
mungu ibariki Tanzania.
No comments:
Post a Comment