ZITO KABWE ATINGA TENA MAHAKAMANI LEO,TIZAMA PICHA KUMI MUHIMU HAPA
Ile
kesi iliyohairishwa jana baina ya Zitto Kabwe na Chadema leo inaendelea
hapa mahakama kuu kanda ya Dar es salaam,Millardayo.com ipo hapa kwa
ajili ya kukupatia kila kinachoendelea kwako mtu wangu wa nguvu.
Hizi ni baadhi ya picha za asubuhi hii.
No comments:
Post a Comment