BAADA YA MANENO KUWA WATANGAZAJI ZAIDI YA WANNE WA RADIO MAARUFU KUTOKA CLOUDS FM WAMETIMULIWA KATIKA KAZI HIYO SASA ALIYEKUWA MTANGAZAJI WA RADIO HIYO ROBEN NDEGE AMETANGAZA KUWA WATANGAZAJI HAO KWA SASA WAPO KATIKA RADIO HII YA MAGIC FM.NAWASILISHA |
No comments:
Post a Comment