MCHUNGAJI MTIKILA AKIZUNGUMZA KATIKA MKUTANO HUO |
TAARIFA ZAIDI ZINASEMA KUWA MCHUNGAJI MTIKILA ALIPEWA NAFASI YA KUZUNGUMZA NDIPO ALIPOANZA KWA KUSEMA KUWA ANAJUA WATU HAWATAPENDA KILE AMBACHO ATAKIZUNGUMZA NA KISHA KUANZA KUSEMA KUWA HARIDHISHWI HATA KIDOGO NA UTEUZI WA WABUNGE WA BUNGE LA KATIBA KWANI WANASIASA WAMEKUWA WENGI KILIKO MASHIRIKA MENGINE KAMA YA DINI NA MASHIRIKA BINAFSI.
BAADA YA KAULI HIYO NDIPO WAJUMBE HAO WALIPOSIMAMA NA KUPINGA KAULI HIYO NA KUSEMA KUWA HAWATAKI TENA KUMSIKILIZA TENA MWANASIASA HUYO .
MENGINE YANAYOENDELEA TUTAWAJUZA
No comments:
Post a Comment