Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Kongamano la Tafakuri na
Maridhiano kuelekea Katiba mpya, lililofanyika kwenye Hoteli ya White
Sands jijini Dar es Salaam, leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya
Siasa, Makundi ya dini na Asasi za kiraia. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Bilal na Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda, wakiagana na wajumbe walioshiriki Kongamano hilo baada ya
ufunguzi uliofanyika kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam
leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya Siasa, Makundi ya dini na
Asasi za kiraia. Picha na OMR Picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano hiloBaadhi ya washiriki wa Kongamano hilo.Viongozi mbalimbali walioshiriki katika kongamano hilo.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo.Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Bw. Ibrahim Lipumba akiwa katika kongamano hiloMakamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, baada ya
kufunguliwa rasmi rasmi Kongamano la Tafakuri na Maridhiano kuelekea
Katiba mpya, lililofanyika kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es
Salaam, leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya Siasa, Makundi ya
dini na Asasi za kiraia. Picha na OMR
.HABARI KWA HISANI YA FULLSHANGWE BLOG
No comments:
Post a Comment