
Masanduku ya Kura za Maoni yakiwa na Kura

Mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze-CCM Ridhiwani Kikwete akiomba kura na kunadi sera zake

Wanacham wa CCM Bagamoyo wakijipanga tayari kupiga kura

Mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze-CCM Ridhiwani Kikweteakipiga kura yake
Kutoka
Kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM kutoka Wilaya
ya Bagamoyo, Ridhiwani Kikwete, na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya
Yanga, Iman Madega.
-
Taarifa zinasema matokeo ya kura za maoni yanaonesha:
Waliopiga kura ni 1,321.
Kura halali ni 1,306.
Kura zilizoharibika ni 5.
Rizwani amepata kura 758
Imani Madega Amepata Kura 335
Maneno Amepata Kura 206
Mkwanzu Amepata Kura 12
No comments:
Post a Comment