![]() |
viongozi wa yanga wakiwatuliza mashabiki wao |
![]() |
Mashabiki wa timu ya National Al Ahly wakiongea na Askari Polisi kuomba wakalizuie tatizo hilo. |
![]() |
Askari Polisi wakiongea na Viongozi wa Timu ya Yanga ili waweze kwenda kuwaomba mashabiki wao waaondoke katika upande ule unaodaiwa kuwa ni wa Mashabiki wa Simba. |
mashabiki wa simba wakifanya fujo muda huu![]() |
No comments:
Post a Comment