Thursday, March 6, 2014

HABARI MPYA KUTOKA BUNGE LA KATIBA DODOMA

HABARI AMBAZO TUMEZIPATA HAPA NI KUWA KIKAO CHA BUNGE MAALUM LA KATIBA LINALOENDELEA DODOMA KIMEAHIISHWA NA MWENYEKITI BADA YA KUTOKEA VURUGU  NYINGI ZILIZOJAA  MABISHANO NA KUMFANYA MWENYEKITI KUAMUA KUAHIRISHA HADI BAADAE

No comments: