KATIBU WA WAZEE YANGA MZEE AKILIMALI AKIZUNGUUMZA NA WANAHABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM,AMBAPO MOJA NA MAMBO MAKUBWA ALIYOZUNGUMZIA NI KUHUSU MCHEZO WA YANGA ULIOFANYIKA HUKO CAIRO WIKI ILIYOPITA NA KUTOLEWA KATIKA MASHINDANO YA KIMATAIFA KATIKA SENTENSI YAKE KUBWA ALIYOSEMA NI KUWA ---YANGA HAIJAFUNGWA NA WA MISRI,YANGA IMETOLEWA NA MISRI NA NI MAMBO YA BAHATI TUU,HAKUNA WA KUMLAM TUNAWAPENDA SANA WACHEZAJI WETU NA TUTAENDELEA KUWAPENDA WACHEZAJI WETU SANA.mwisho wa sentensi yake |
No comments:
Post a Comment