Meneja wa Mawasiliano wa tigo John
Wanyancha akiongea na waadishi wa habari wakati wa kutangaza Udhamini wa
Mashindano ya mbio za mbuzi yatakayofanyika mwezi juni .Kushoto ni Aron
Luhanga.
Meneja wa Mawasiliano wa tigo John
Wanyancha (kulia )akiongea na waadishi wa habari wakati wa kutangaza Udhamini
wa Mashindano ya mbio za mbuzi yatakayofanyika mwezi juni .Wengine ni Karen
Stanley Mwenyekiti wa kamati ya mbio hizo na Abdul Simba na Punim Kanabal.
No comments:
Post a Comment