raisi kikwete akizungumza jambo na salum mkambala mtangazaji wa chanel ten aliyepata ajali |
Mh Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania akiwa kashika mkono wa Salum mkambala huku akiuangalia jinsi ulivyoo umia baada ya kufika katika hospitali ya muhimbili hivi karibuni kumpa pole. |
No comments:
Post a Comment