Thursday, March 27, 2014

KUWA WA KWANZA KUSHUGHUDIA MPINZANI WA RIDHIWAN HUKO CHALINZE AKIWA JUKWAANI KUNADI SERA ZAKE

Hatimaye baada ya kuzitafuta sana picha za mgombea wa chadema ubunge chalinze sasa HABARI24 blog imeanza kupata ushirikano kidogo kutoka kwa wahusika,pichani ni mgombea wa ubunge wa jimbo la chalinze bw MATHAYO TORONGEY akiwa katika kampeni huko mbwewe jimbo la chalinze.TUNAOMBA RADHI KWA UBORA WA PICHA KUTORIDHISHA.

No comments: