Saturday, March 8, 2014

KUWA WA KWANZA TANZANIA NZIMA KUMWONA KOCHA MPYA WA TAIFA STARS.HUYU HAPA

Huyu ndiye kocha mpya wa Taifa Stars anaitwa Martius Ignatius kutoka Uholanzi anatarajiwa kutambulishwa rasmi machi 24 mwaka huu rais wa TFF,Jamal Malinzi.

No comments: