Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Wastaafu Mhe Olesegun Obasanjo
wa Nigeria, Rais
Jakaya Mrisho kikwete akiongea kwa furaha na Waziri Mkuu Mhe Mizengo
Pinda, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe John Sitta, Makamu Mwenyekiti
wa Bunge hilo Mhe Samia Suluhu Hassan Katibu wake Mhe yahaya Khamis
Hamad na naibu katibu Dkt Thomas Kashilia na Mawaziri Mhe William
Lukuvi na Mhe Aboud baada ya zoezi la kuwaapisha Katibu na Naibu Katibu
wa Bunge Maalum lililofanyika Ikulu ndogo mjini Dodoma leo Machi 14,
2014.
No comments:
Post a Comment