Kaimu Mkurugenzi Mtendaji
wa Tigo Bw. Eduardo Quiroga akizungumza wakati wa makabidhiano hso ysliyofsnyiks jijini dar es salam leo
|
Tigo leo imechagua na kutangaza
washindi watatu watakao pewa dola 25,000 kila mmoja chini ya mradi wa Tigo
Reach for Change ulio zinduliwa mwezi Novemba mwaka jana yenye malengo yakuboresha
maisha ya watoto nchini.
faraja nyalandu ambaye ni mmoja kati ya washindi hao akipokea mfano wa hundi leo |
Wajasiriliamali jamii hao watatu walioshinda ni:-----
1-----Faraja
Nyalandu, namradi wa Shule Direct;
‘Shule Direct’ inamalengo yakuhamasisha na kuhakikisha kwamba mtaala bora yaelimu inapatikana kidigitali kiurahisi na kwa ufanisi zaidi kupitia njia ya simu za mkononi (SMS na kwa kupiga) kwa ajili ya maendeleo mema ya wanafunzi wakitanzania.
‘Shule Direct’ inamalengo yakuhamasisha na kuhakikisha kwamba mtaala bora yaelimu inapatikana kidigitali kiurahisi na kwa ufanisi zaidi kupitia njia ya simu za mkononi (SMS na kwa kupiga) kwa ajili ya maendeleo mema ya wanafunzi wakitanzania.
2.
2------- Joan Avit na
mradi wa Grapho Game Tanzania; ‘GraphoGame’ ni mchezo wa watoto uliowekwa kwenye mfumo wa kompyuta (apps) inayoweza
kutumika kwa njia ya simu yenye malengo ya kuwawezesha watoto kujua kusoma na kuandika.
Imewekwa kwanjia ya mchezo ili kuweza kuwa fanisi zaidi kwa kuwafurahisha na kuwashirikisha
watoto pindi wanapokuwa wanajifunza.
3-----
Carolyne Ekyarisiima na mradi wa Apps and
Girls;‘Apps and Girls’ina
malengo ya kuwa hamasisha wasichana na wanawake kuweza kuelimika zaidi katika masuala
ya Teknohama.
nawashukuru sana tigo na reach fo change |
“Kutoa huduma za kijamii
ni moja kati yangu zao kuu katika kampuni yetu, na tumejikita sana katika mradi
huu ambao ni mpango maalum ndani ya mitandao wetu dunia ni kote. Tigo Tanzania
imepokea miradi mizuri mengi sana na tumeweza kufanya mchujo mkali sana.
Washindi watatu walioshinda siku yale hawakuwafurahisha tu jopo la majaji walio
kamilisha zoezi hili bali majaji walipima nakuona kwamba miradi yao yana mantiki na yenye uwezo kiukweli kukabili
matatizo ya watoto. Washindi hawa watakuwa wanapokea dola 25,000 kila mmoja kwa
mwaka kwa muda wamiaka mitatu kwa ajili ya kukamilisha malengo ya miradi yao,”
alisema Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo Bw. Eduardo Quiroga.
Aliendelea kusema, “Ushirikiano
wa Tigo Reach for Change unamalengo ya kutambua na kuwawezesha wajasiriliamali jamii
wenye mawazo yakibunifu yenye uwezo wa kuboresha maisha ya watoto nchini Tanzania.
Washindi hawa watatu wataingizwa rasmi kwenye mpango maalum wa miaka mitatu ambao
utawawezesha wajasiriliamali jamii hao kupata ushauri kutoka kwa wataalam wetu ya
namna bora ya kuendesha mradi yao. ”
Carolyne Ekyarisiima ambaye pia ni mshindi |
No comments:
Post a Comment