Kutoka
Kushoto ni Marc Wegerif ambaye ni Economic Justice Campaign , Fazal
Issa Afisa wa Miradi na Eluka Kibona Meneja wa Ushawishi Wote kutoka
OXFAM
Meneja wa Ushawishi kutoka OXFAM Eluka Kibona akizungumzia mabadiliko ya Tabia nchi jinsi yanavyo athiri katika Kilimo
Marc
Wegerif economic justice Campaign Manager kutoka OXFAM akizungumzia juu
za ya haki za wanawake katika kumiliki Ardhi na kuitumia ipasavyo
kuzalisha Chakula , pamoja na umuhimu wa Bima ya Mazao
Fazal
Issa Afisa Miradi kutoka OXFAM (Kushoto)akizungumzia juu ya Magonjwa ya mazao
pamoja na upatikanaji wa chakula ili kuweza kupunguza maswala ya njaa
ambayo ni Tatizo kwa Jamii.
Afisa
utetezi wa haki za kiuchumi wa OXFAM Mkamiti Mgawe akijibu maswali
kutoka kwa waandishi wa Habari na kuelezea Mikakati pamoja na mipango
Endelevu ya OXFAM
Mmoja wa waandishi wa Habari Dotto Kahindi akiuliza swali wakati wa Mkutano huo mfupi
No comments:
Post a Comment