Hii ndio hali halisi inayoendela hapa posta muda huu ambapo manispaa ya ilala inawatoa wafanyabiashara ndogo ndogo wanaopanga vitu vyao barabarani hapa stendi ya posta muda huu,hakuna kinachobakia nyuma kila kitu kinasombwa,hali ni tafrani hapa,tazama baadhi ya picha nimzinasa |
No comments:
Post a Comment