Monday, April 28, 2014

BREAKING NEWZZZ--STRABAG WAGOMA


HABARI AMBAZO TUMEZIPATA KUTOKA KWA WADAU WETU MBALIMBALI WANASEMA KUWA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA STRABAG WANAOJENGA BARABARA ZA MABASI YAENDAYO KWA KASI JIJINI DAR ES SALAAM WAMEGOMA KUFANYA KAZI ASUBUHI YA LEO WAKISHINIKIZA KUONGEZEWA MISHAHARA YAO.


HABARI ZAIDI ENDELEA KUTUFWATILIA HAPA

No comments: