Tuesday, April 1, 2014

CHADEMA YAENDELEA KUUSAKA UBUNGE WA CHALINZE--PICHA TATU ZA KINACHOENDELEA HUKO

Mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey, akiwahutubia wananhi wa kijiji cha Goba katika mkutano


Mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey, akisdalimiana na wananchi wa kijiji cha Lugoba, baada ya mkutano wa kampeni kijijin
Mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey akisalimiana na mmoja wa wakazi wa kijii cha Makombe

No comments: