Thursday, April 3, 2014

EXCLUSIVE---HIZO NDIZO BIDHAA FEKI ZILIZOKAMATWA NA TFDA ZIKIWA SOKONI--JIHADHARI SANA

Chumvi ambayo haijasajiliwa

Maziwa ya watoto ambayo yalikutwa katika soko yakiuzwa bila kusajiliwa

Mkurugenzi Mkuu wa TFDA Bw. Hiiti Sillo, akionesha waandishi aw habari moja ya bidhaa ambazo zilikutwa katika soko zilikutwa bila kusajiliwa.

No comments: