Thursday, April 3, 2014

HUKO CHALINZE KUMENOGA,CHEKI MGOMBEA WA CHADEMA AKIPIGWA MAOMBI YA KIMILA

Kiiongozi wa kimila wa wamasai, Tikwa Moreto (aliyeketi), akishiriki kumwombea mgombea wa ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Dempkrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey (wa tatu kushoto), nyumabni kwa kiongozi huyo kijiji cha Gumba, Kibaha Vijijini leo.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Issa Said Mohamed akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Miono, katika mkutano wa kampeni, uliofanyika kijijini hapo
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Miono wakiitikia kauli mbiu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ya "Peoples Power" wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Miono

No comments: