Thursday, April 10, 2014

hatari--KABURI LA SHEKH YAHAYA LABOMOLEWA NA BOMOA BOMOA


Haya ndiyo makaburi ya Sheikh Yahaya Hussein aliyekuwa mtabiri mashuhuri nchini na Sheikh Jumaa yaliyovunjwa na operesheni safisha jiji usiku wa kuamkia leo maeneo ya Tambaza.

No comments: