Friday, May 30, 2014

BANK YA POST YAINGIA MAKUBALIANO NA SIMBA NA YANGA MCHANA HUU,CHEKI PICHA HAPA--RAGE AONEKANA

Benk ya posta tanzania imeingia makubaliano na timu ya simba na yanga katika kushirikiana katika malipo kupitia washabiki na wapenzi wa timu hizo ambapo kila shabiki wa timu hizo watakuwa na kadi za benk hiyo,jambo ambalo mashabiki hao watakuwa wakuchangia michango yao kupitia benk hiyo,BAADHI YA PICHA

Tutashirikiana

Mwenyekiti wa Simba, Isimal Aden Rage wapili kulia na Makamu wa rais wa Yanga, ClementSanga, wakifungua pazia kuashiria ukuzindua rasmi wa wanacha wa timu mbili hizo kutumia kadi za Benki ya Posta kushoto ni Naibu Waziri wa  Utamaduni na michezo, Juman Mkamia, uzindi huo umefanyika Dar es Salaam leo

No comments: