Thursday, May 29, 2014
HABARI ILIYOWAHUZUNISHA WATANZANIA WENGI LEO--MSANII RECHO AAGWA VIWANJA VYA LEADERS KATIKA PICHA
Wasanii wa Bongo muvi ambao walikuwa ni watu wa karibu wa Recho.
Sehemu lilipowekwa jeneza la msanii Recho.
Mwenyekiti wa Bongo muvi akitoa hotuba wakati wa kumuaga msanii Recho
Mchungaji pamoja na katekista waliendesha misa katika viwanja vya leaders jijini Dares salaam
Mume wa Marehemu Recho akilia kwa uchungu.
Mamia ya wananchi wamejitokeza kumuaga msanii Recho
Wasanii wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Recho.
Wasanii JB pamoja na Dr Cheni wakitoa heshima za mwisho
Vicent Kigosi maarufu kama Ray akimuaga msanii Recho.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment