MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA WANASAYANSI NA MABINGWA WA TIBA JIJINI DAR LEO
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la pili la Wanasayansi na
Mabingwa wa Tiba, wakati wa ufunguzi huo uliofanyika kwenye Hoteli ya
Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, leo Mei 14, 2014. Kushoto ni
Mwakilishi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dkt. Jonathan
Mbambo (katikati) ni Balozi wa Swewden nchini Tanzania, Lennarth
Hjelmaker. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Akisalimiana na Mjumbe
wa Bodi ya MUHAS Prof Mohamed Bakari, wakati alipowasili kwenye Hoteli
ya Kunduchi Beach kwa ajili ya ufungua rasmi Kongamano la pili la
Wanasayansi na Mabingwa wa Tiba, jijini Dar es Salaam leo, Mei 14, 2014.
Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Akizungumza na Balozi
wa Sweden nchini Tanzania, Balozi Lennarth Hjelmaker, wakati akiondoka
katika Hoteli ya Kunduch Beach baada ya kufungua rasmi Kongamano la pili
la Wanasayansi na Mabingwa wa Tiba, lililofanyika leo jijini Dar es
Salaam. Picha na OMR
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo.
No comments:
Post a Comment