Friday, June 20, 2014

BREAKING NEWSSSSSSS........MOTO MKUBWA WATOKEA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM). USIKU WA LEO.PICHA ZIKO HAPA

TUKIPATA HABARI ZAID TUTAKUJUZA


Moto uhuu umezuka  karibu na hostel za mabinti katika skuli ya sanaa na lugha (humanities), chanzo cha moto huo ni shoti ambapo nguzo zimeungua kwa taarifa zaidi tutazidi kuwajuza kinachojili






CHANZO:DICKDON BLOG

No comments: