Sunday, June 15, 2014

BREAKING NEWZZ--PICHA NNE ZA WASOMI WA CHADEMA(CHASO) WALIOKUSANYIKA MUDA HUU KULIJADILI TAIFA HILI,MABERE MARANDO YUPOha

Wanafunzi wa vyuo mbalimbali tanzania kutoka umoja wa chadema vyuo vikuu tanzania CHASO ambao wamekusanyika hapa msimbazi cente jijini dar es salaam kujadili maswala mbalimbali ambayo yanakihusu chama chao ikiwa ni pamoja na mambo mbalimbali ya kitaifa 

MABERE MARANDO kiongozi wa chadema ndiye mgeni rasmi hapa muda huu anatoa neno lake kwa wasomi hao,kubwa zaidi ambalo anasisitiza hapa ni juu ya kuhakikisha wanaiondoa CCM madarakani


HABARI ZAIDI ZITAKUJIA HAPA HAPA

No comments: