BREAKING NEWZZ--SOKO LA MCHIKICHINI LINAWAKA MOTO USIKU HUU
Habari ambazo mtandao huu unazipata muda huu wa saa sita na nusu usiku ni kwamba moto mkubwa unaendelea kuliteketeza soko maaufu jijini dar es salaam la karume au mchikichini kama linavyoitwa.bado haujapata chanzo cha moto,tunafwatilia habari hii
No comments:
Post a Comment