gari lilobeba mwili likiwa njiani |
Mwili wa Mzee Small ukiwa kaburini. HATIMAYE mkongwe wa maigizo nchini, Mzee Small amezikwa katika makaburi ya Segerea, Dar ambapo mamia ya watu wamehudhuria maziko yake. |
Mwili wa marehemu ukishushwa kwenye gari |
Msafara wa pikipiki na wananchi waliokuwa wanaelekea katika maziko hayo tabata leo mapema leo |
No comments:
Post a Comment