Tuesday, June 3, 2014

WIKI YA MAZINGIRA YAINGIA SIKU YAKE YA PILI HUKO MWANZA

Baadhi ya walimu wa shule ya Sekondari Lumala wakisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na  Naibu Katibu Mkuu (hayupo pichani)kuhusu masuala ya utunzaji Mazingira na upandaji miti.


Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Angelina Madete (kulia) akipata taarifa kutoka kwa mkuu wa shule ya Sekondari Lumala iliyoko Wilayani Ilemela katika Mkoa wa Mwanza  Bw. Christopha  kuhusu mradi wa miche iliyopandwa katika shule hiyo.kwenye ziara ya wiki ya Mazingira Duniani.

Naibu Katibu Mkuu Eng. Angelina Madete (katikati) akijibu maswali aliyoulizwa na walimu wa shule hiyo  (hawapo pichani) kuhusu suala zima la siku ya Mazingira Duniani.  


No comments: