Monday, July 21, 2014

samahani picha zinatisha : MAITI ZA WATU ZILIZO KAUSHWA ZAKAMATWA NDANI YA MIFUKO ENEO LA BUNJU USIKU HUU PICHA ZIKO HAPA

 Mmoja ya Kiungo cha Mguu kikiwa kinaonekana usiku huu 
 Baadhi ya Mifuko ambamo Maiti izo zilikuwa zimewekwa
 Moja ya kichwa cha Binadamu ambacho kimetolewa katika moja ya Mifuko hiyo

 Umati wa watu wakiwa wanashuhudia tukio hilo muda huu
 Watu zaidi wakiwa wanaongezeka katika eneo la Tukio


Mpaka tunaondoka eneo la Tukio Miili ilikuwa imechukuliwa na Jeshi la Polisi kwa Uchunguzi zaidi, Taarifa kamili italetwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es salaam.

No comments: