Thursday, August 21, 2014

BALOZI WA UHOLANZI AZUNGUMZA NA RAIS DK.SHEIN

IMG_1579
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Bw.Jaap Frederiks alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_1598

No comments: