HILI NDILO KOMBE WALILONYAKUA REAL MADRID NDANI YA ARDHI TA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akimkabidhi Kombe Nahodha wa magwiji wa Real Madrid ya Hispania, baada ya kuwafunga magwiji wa Tanzania mabao 3-1 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana
Rais Kikwete akimkabidhi mpira Reuben De La Red baada ya kufunga mabao yote ya Real Madrid
Nahodha wa Real Madrid akiinua juu Kombe lao
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na magwiji wa Tanzania
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na magwiji wa Real Madrid
No comments:
Post a Comment