Ni duka kubwa la vifaa vya umeme ambalo limezinduliwa leo jijini Dar es salaam na wachezaji wa zamani wa timu maarufu duniani ya REAL MADRID duka ambalo liko maeneo ya Victoria hapa jijini . Showroom hii ya vifaa mbalimbali vya umeme inaitwa TROPICAL CENTE imezinduliwa rasmi na meya wa kinondoni mstahiki YUSUPH MWENDA pamoja na wachezaji wa real madrid wa zamani ambao wapo hapa nchini kwa ziara yao ya kukuza utalii wa Tanzania na mahusiano mema ya timu na nchi hizi. |
No comments:
Post a Comment