Balozi wa Cuba nchini Mh. Lopez Toronto akiongea na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene wakati Balozi huyo alipomtembelea Bw. Mwambene Ofisini kwake leo (jana), katika mazungumzo yao walijadiliana kuhusu maendeleo ya Tasnia ya Habari baina ya nchi hizo mbili.(Picha na Benjamin Sawe)
No comments:
Post a Comment