Kwanza kabisa natoa shukrani kwa mwenyezi mungu kwa kunifikisha leo tarehe 06 mwezi wa 12 maana ndio kumbukumbu yangu ya kuingia
duniani.
Namshukuru mama yangu mzazi aliyanizaa na kunilea mpaka hapa
nilipo ni kwa uwezo wake nampenda sana mama
yangu.
Nawashuku sana ndugu zangu wote kwa support wanazonipa ili
nifikie malengo niliyojiweke na Pia sina budi kuwashukuru Mablogger
wanaonipa support ya nguvu maana bila ninyi mablogger sidhani kama kazi
hii ingeendelea mpaka kufikia hapa na pia kuna baadhi yao unielekeza kwa
kunikosoa hata kunifundisha ni kipi cha kufanya il niweze kufikia
malengNa pia washukuru wadau wetu wanaotembelea Blog Yetu http://pamojapure.
maana bila nyie mimi nisingekuwa nafanya kazi hizi. Asanteni sana na pia nawapenda sana munguawalinde na
awasimamie katika ujenzi wa taifa letu
|
Saturday, December 6, 2014
KHERI YA KUZALIWA KWA MWANA LIBENEKE GEOFREY WA PAMOJA BLOG
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment